Ushaanza uchochezNaona watumishi wameamukuwa kimiya suala madaraja,serikali ilihaidi kulipa mwezi wa 11/2017,mpaka leo hii bila bila,labda kwa baadhi ya mikoa,hakieleweki kinachoendelea,au siasa !!!
Tupo Pamoja Mkuu Kimsimamo Wa Tz Weng Hawaliziki Wanapenda Pesa, posho, Off, Wek End , Likizo , Kuliko Kazi Na Hatupo tayari kujitolea kwa ajiri ya jamii au nchi Huu Si Uzalendo, Hii Imepelekea Hata Viongoz Kula Pesa Za Wananch Kama Wangekua Wanafikili As Me And U Wangewaonea Huruma Watu Wa Hali Ya Chini Na Wacngekula Hata Senti Moja Sana Sana Wangerizika Na Mishahara Yao BUT ONE DAY MUNGU ATAWAONESHA MATUNDA YAOmjifunze kujitolea kwa ajiri ya nchi yenu uoni wanajeshi wapo tayari kufa kwaajiri ya nchi....
ili jamii ipate maendeleo lazima wengine waumie.
Sijui na Rais anawaza kama mimi? kama anawaza tofauti pole yetu.
Wakati tunajitolea nani atakuwa anatulipia kodi, kusomesha watoto na kutusaidia kupata pesa za kumudu gharama za mjinimjifunze kujitolea kwa ajiri ya nchi yenu uoni wanajeshi wapo tayari kufa kwaajiri ya nchi....
ili jamii ipate maendeleo lazima wengine waumie.
Sijui na Rais anawaza kama mimi? kama anawaza tofauti pole yetu.