Madaraja 8 yavunjwa Songwe kwa kupitisha dawa za kulevya na bidhaa bandia

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,817
4,059
Kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya Ileje mkoani Songwe imevunja madaraja nane yaliyojengwa kinyemela katika mto Songwe unaotenganisha nchi za Tanzania na Malawi kwa kudaiwa kutumika kama njia za panya kuvushia dawa za kulevya, wahamiaji haramu, na bidhaa za magendo.

 
Back
Top Bottom