Madame B siamini, Kweli Wangu umenitoka.

Jamaniiii.......msiba wapi vile? rambirambi je tunapitishia wapi?
 
....asante, Charm,
ila naomba nawe mbwa wako awe msimamizi mkuu au ulishamtafutia mke?
Maana nakumbuka enzi zileee...!!!

bdo hajapata. bas tufanye zamu. wiki kwa wiki. sawa eeh thn bdae tutatafuta wa kuzba pengo lake. nina uhakika pengo lake litazibika!
 
meshtuka kidogo n nikadhan smthn else abt u urself madame haya tena mi na baba watoto jg tutakuwepo had matanga
 
...beibe nawakaribisha.
Ila msisahau kuja na rambirambi.
Na 11 hii alfajiri ndio tupo Airport tunamsafirisha Kipisi wetu.
Maana anaenda kuzikiwa hukooo...Mkoani.
 
Msicheke jamani,kuna watu wanajenga mapenzi makubwa sana na mbwa/paka wao.
Pole Madam.
 
Remmy,
msiba upo hapahapa Dsm,na rambirambi pitishia kwa kutumia vocha.
Asente.

Kwahiyo niende uwanja wa taifa ehee, au Karimjee? au leaders? Dar kubwa bana Madame B.
Namba ako sina au umeniPM.
 
Msicheke jamani,kuna watu wanajenga mapenzi makubwa sana na mbwa/paka wao.
Pole Madam.

....kweli Bishanga.
Unajua kuna muda mwingine unahitaji kiumbe cha ziada tofauti na Binaadam ili kikupe kampani.(Msininukuu vibaya jamani.)
Asante ila ndo hvo,jirani kampa sumu.
 
Mh!
Remmy,usiende popote mpaka nirudi Mkoani.
Unataka niku PM ili utume hyo rambirambi?
Au njoo Mtaa wa Mateja utaukuta Msiba.
 
Back
Top Bottom