Ubora na utamu wa maziwa hua ni cream!
Hao unaowanadi wako kamili ?
Pande za huko ulipowachukua hakuna traditional ya kutoana cream?
Nihabarishe kwanza , kama vipi nahitaji nim'bukie mdogo wangu mmojawao.
Rply fasta zabuni hiyo!
Haaaaa madameb tulikumisije allooo!!!! Twashukuru kwa kutuletea zawadi ya mapeasi, mi nipe mawili tu ya kumumunya aisee.
mwanamke nyonga full kuipeperusha, hivi hujanionea mtu anayeitwa sweetylady?
Pole sana Madameb.
BADILI TABIA jamani,karibu sana....mimi na vidole vinavyotype kwa ushirikiano wa viganja vinavyobeba vidole, kwa msaada mkubwa wa macho na kichwa .....tulikumiss sana...
he he heeeeeeeeeeee, Ciello njoo uone hukusisi wanaume alishatutoa long time kitaaambo, muulize figganigga
wooh mamie nafurahi kukuona tena ukiwa na lile tabasamu lako kama la siku ile ulipotwaa taji. . . .
mashindano wa miss cc yalifana bt twatakiwa kufanya party ya kumkabidhi Ciello crown rasmi couz hujakuwepo so nilimkabidhi kama miss na. 2 kwa niaba yako!
WELCOME AGAIN. . . MISS U SO APRIL!!!!!!
Welcome back my wife to b madame B,naandaa safari ili twende zetu botswana tukapumzike wakati suala la vikao vya harusi likiendelea.
Baba V ye muache, nimeshamueleza.Mungu wangu!! Umemuitaje?? Unapenda kesi zisizo na dhamana wewe! Anakuja Ruttashobolwa