Kweli Ruttashobolwa hawatuwezi na mke Madame B wetu watuachie.
Mh!!! nina mashaka,
waume wenza mnapatana hv?
kutakuwa na kitu,si bure.
Mwanzoni
Ruttashobolwa alikuwa na hajiamini kivile ila
sasa keshakuwa. Nadhani alidhani nataka kukubinafsisha
Madame B niljua ni upepo tu.
Raha iliyojeeeeee.........!!!!!!????
Jamani matumbo nilikumiss sana,
vp sasa shwanga?
Barida?
kwani wewe uko mjini,si nasikia uko Kibada?
Nina hamu na wewe sana.
mie nipo mjini hapa, niende
wapi na sie ndio wenye mji..tukitoka ujue tunaenda kupiga pesa sio
otherwise..nani anapenda kuishi mkoani vumbi kibao si basi tu.mjini
kuzuri bwana ukiona mtu kapakimbia ujue kakwama uyo..ata arushaone
analijua ilo..
.....ndo mana nakupenda matumbo,
waikoshaga roho yangu wewe............acha tu......!!!!!!!!!
Natamani hata nikuongeze ktk list ya waume zangu wa JF.
aaha bana waume wa jf hainogi... kama kweli wampenda mpandishe awe wa ukweee!!!!!!