Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,507
- 29,608
Nazungumzia kuchunguza Simu za waume zenu, hapo ni nje ya jf
😀😀😀ya boyfriend tu nikipata nafasi napita patrol kama sina akili sembuse mume aah thubutuNazungumzia kuchunguza Simu za waume zenu, hapo ni nje ya jf
Nikununulie soda auMwanamke Msaliti pekee ndio anaweza kuvumilia.
Kwahiyo unataka kusema huenda wife wa mwamba nae ana mambo yake ndio maana Hana time?Mwanamke Msaliti pekee ndio anaweza kuvumilia.
Mmmh huenda Una point kuhusu Hilo,kwamba huenda nae ana vijimambo vyake sehemu huko, unaweza kuwa sahihi madamOgopa sana Mwanamke ambaye una msaliti awe anajua ila anakupotezea narudia tena Ogopa sana
Siwez jisumbua na simu ya mtu kanunua kwa pesa zake.Hapana Shaka yoyote wengi wetu humu ndani tunajua harakati za DeepPond na mama j, ni mastory ambayo Yana vituko na burudani na mafunzo ndani yake, binafsi huwa sikosi kumsoma huyu mwamba.
Lakini wote tunakubaliana humu jukwaani kwamba Hakika kama mkewe angekuwa mtu WA kufuatilia Simu ya mumewe bilashaka ndoa yake ingekuwa chali siku nyingi Sana.
Lakini mwanamke huyu amechagua kutojihusisha na mambo hayo na ndio maana pamoja na vurugu zote za mama j bado ndoa Yao iko salama na Maisha yanaendelea kama kawaida.
Kwa mfano kisa cha juzi mwamba baada ya kupigwa sound na mama j ikabidi nae ampige sound wife kuwa mlinzi ofisini kanipigia Simu huenda kuna shida, kama wife angekuwa mfuatiliaji basi angeenda ofisini Kwa mwamba na kumuuliza mlinzi mume wangu alikuja Jana saa nane usiku,kulikuwa kuna shida gani? Bilashaka mlinzi angeshangaa na kustaajabu na hapo wife angejua kuna tatizo sehemu.
Lakini amechagua kumwamini mumewe na ndio maana mpaka Leo wako pamoja na Hana presha zisizo na sababu.
Hata mama yangu pia si mtu WA kuchunguza Simu za Mzee wangu,maana kama angekuwa ana chunguza Bilashaka angelipata la kulipata,coz wakati bado nipo home siku moja mdogo wangu yale mambo ya kumwekea vocha mshua, sijui aliwaza nini na kwenda kwenye text za mshua daah sio poa,itoshe kusema ni Noma,ndo akanitonya bro kuna text flani flani humu.
So point yangu ni kwamba mwanamke mpumbavu huivunja ndoa yake mwenyewe Kwa mikono yake,maadam mumeo anakuheshimu na kukupenda na hajakuletea sababu zozote za kukufanya uwe na mashaka,basi usitafute mashaka katika Simu yake,kwani ukiyataka utayapata Tu!
Kaa mbali na Simu yake Kwa mustakabali wa ndoa Yako.
Ni hayo Tu!
MadamUnasema nini wewe?
Yaani nimwamini mwanaume na private parts zangu halafu niogope kushika na kukagua simu yake?
Kwa kifupi wanaume acheni umalaya na sio eti "mwanamke mjinga huvunja ndoa yake na blah blah".
Hamna upendo na heshima kama anazini nje ya ndoa. Upendo hapo upo wapi? Heshima ipo wapi? Echeni uzinzi na kutafuta visingizio vya ajabu.
Huo ndio ukweli mchunguMmmh huenda Una point kuhusu Hilo,kwamba huenda nae ana vijimambo vyake sehemu huko, unaweza kuwa sahihi madam
Nadhani ni mara ya pili sasa nakuona unasimamia msimamo huo huo,hongera Sana kwako Kwa kuwa na Moyo mkuu madamSiwez jisumbua na simu ya mtu kanunua kwa pesa zake.
Ndio madam😍Nikununulie soda au
Asante sana mkuuNadhani ni mara ya pili sasa nakuona unasimamia msimamo huo huo,hongera Sana kwako Kwa kuwa na Moyo mkuu madam
Binafsi naamini anatupa story za ukweli kutokana na mtililiko wa maelezo yake.Kwahiyo huwa mnaamini hizo soga?
Hakuna mke mjinga hivyo.
Ulio andika ni kweli ila wapo Wanawake wanasaliti na wenza wao hawajui tena wapo wengi kuliko unavyo dhani mkuu.Kwahiyo unataka kusema huenda wife wa mwamba nae ana mambo yake ndio maana Hana time?
Nakataa coz mwanamke akifall in love sehemu nyingine au akinogeshwa huko lazima atajulikana Tu coz atakuwa na dharau na vurugu mingi mingi