Ana uccm wa kishamba sana na toka ule uzi wake wa picha na vituko ubambe hapa jf amekuwa mjivuni na anajikweza sana utadhani yeye ndio mwanzilishi wa jf
Hongera Sky, ni kweli anavyosema mtoa mada hata mtu akikutukana humjibu, sign of maturity!, kuna mkaka alikuanzishia thread ya kusema vibaya, sijui ni EX wako, wala hukumjibu....hongera sana kwa uvumilivu...