somebody has a crush on Madam, ila nani hampend madam [mention]Sky Eclat [/mention], ukisoma tu comments zake unajua moja kwa moja kuwa she’s interesting. Kaitendea haki ile DP yake plus she seem well educated
Ukitaka kumpata uwe na pesa walau za kuanzisha project kwa mfano ghorofa...yupo kwenye industry ya ujenzi aidha NI mhandisi au mchora Raman au mthaminishaji majengo...ila NI mdau wa maendeleo kama huna pesa kafuate mademu wa kidimbwi