sikuziona nilikuwa naangalia vingine... vilivyonona
Me cvijui.
Hebu nitajie wangu.
Ah,mi naogopa Chilli na Ruttashobolwa watanisikia na kuniombea ban kwa mods.
...kama vipi hvo vilivyonona?
Nitajie.
Heheheee...maneno mengine yanatajika PM tu,hapa ni kunitakia balaa mwana wa mwenzako.