K Kichurii New Member Joined Apr 19, 2024 Posts 1 Reaction score 2 Oct 7, 2024 #1 Naishi madale Mbopo, maji yanayotoka kwenye mabomba maeneo haya ni machafu mno. Naiomba mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira (DAWASA) ichukue hatua. Pia soma: - DAWASA kwanini mmeshindwa kutoa majibu kwa Wakazi wa Mbezi Beach maji ya bomba kutoka machafu kwa muda sasa Wizara ya Maji
Naishi madale Mbopo, maji yanayotoka kwenye mabomba maeneo haya ni machafu mno. Naiomba mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira (DAWASA) ichukue hatua. Pia soma: - DAWASA kwanini mmeshindwa kutoa majibu kwa Wakazi wa Mbezi Beach maji ya bomba kutoka machafu kwa muda sasa Wizara ya Maji
and 998 others JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 27,921 Reaction score 39,103 Oct 7, 2024 #2 Okay. Ngoja kikao cha bodi ndo kitafanya maamuzi.
Mashamba Makubwa Nalima JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 7,658 Reaction score 3,746 Mar 19, 2025 #3 and 300 said: Okay. Ngoja kikao cha bodi ndo kitafanya maamuzi. Click to expand... Wasaidieni aisee