Akihutubia kwao wakati huo akiwa waziri wa njia aliwaambia hivi wakati akijibu malalamiko ya njia kukosa lami , " Wakusanye kinyesi chao chote wasilibie bara bara ili iwe mbadala wa lami " Mtu kama huyu atatoa wapi baraka ?Aisee huyu mtu mbona yupo hivi kila alifanyalo linakwama itakua ana aina fulani ya laana alishawahi fanya jambo lililokinyume na maadili na dini sio bure kwa kweli haiwezekani iwe hivi
Oh,What is the problem?
Na bado wakamchagua tena !Akihutubia kwao wakati huo akiwa waziri wa njia aliwaambia hivi wakati akijibu malalamiko ya njia kukosa lami , " Wakusanye kinyesi chao chote wasilibie bara bara ili iwe mbadala wa lami " Mtu kama huyu atatoa wapi baraka ?