ribart Focus
New Member
- Feb 10, 2025
- 3
- 6
Ivi ni kwanini kazi sikuhizi wanapewa madalali?.Watu kabsa wameanzisha hadi makampini watu m-subscribe ili kupata kazi, kwanini yani ili upate kazi mpaka utoe hela. Eti kazi hii ili kupata Ada yake ni 30000 .WHY? Jamii Forum fikisheni hii sehemu husika ishakuwa kero.