Madaktari!

Madaktari!

kumbe ww na huyu mtoto hauna tofauti yeyote! badala umjibu kubwa zima sijui holder wa md/bvm/amo unampa mipasho ya taarabu! amekuambia hamjui mzee yusufu au, ndio maana mpo nchini mmekalia majungu ugonjwa kidogo tu ni lazima India kweli nyie ethiks zenu zero.BVM /DVM ovyo walipa kodi waliowafundisha wanafuga ngombe lakini soko hamna kisa magonjwa yanayoweza kuzuilika.Laiti ningekuwa ni mimi hata hyo sifa ya kuitwa daktari hapa bongo nisingeitamani! Mwanaume /msomi wa shoka anajisifia kwa kazi na si migomo migomo ya kibinafsi eti sisi muhimu , muhimu kwa lipi?

Sasa mbona kama wewe ndo unatoa mipasho?...
 
Wenye sifa za kutanguliza Dr ni kama ifuatavyo:
1. Doctor of Medicine,M.D
2. Doctor of Dental Surgery,DDS
3. Doctor of Philosophy,PhD
Hizo ndio legal categories.
 
Wenye sifa za kutanguliza Dr ni kama ifuatavyo:
1. Doctor of Medicine,M.D
2. Doctor of Dental Surgery,DDS
3. Doctor of Philosophy,PhD
Hizo ndio legal categories.
Na Doctor of Medicine M.D akiendelea kusoma/kutafiti mpaka akapata PhD, Je anaongezea Dr ingine mbele ya jina au, yaani Dr. Dr. (ya kwanza kuonyesha yeye ni M.D na ya pili PhD? )
 
bongo kungekuwa na madokta watu wangeenda kutibiwa india???? madokta wetu sio madokta ni waganga njaa tu . hawana tofauti na akina maji marefu

Am not in the line of support of that kind of thinking, mkuu madaktari wetu ni wazuri sasa kwa mtazamo wako unaweza sema hata mungu kwa nini watu wanakufa pata matatizo. Vifaa ndio tatizo kwenye mgomo wao walizungumzia kifaa mojawapo kinachokosekana muhimbili kinaitwa CT scanner now u can imagine.
 
Your respect is not with the way you are called but the way you are useful to the society. Try this, go any where where no one knows you and see if any one will care about you even if you are a Dr. by title. And also try to go where everybody know that you are a useless and non-sense Dr., for sure no one will care about you. While you are with people who do not know you try to do anything exception which is worthy to the society, everyone will value and respect you regardless of your education title. This means that being called Dr. or any other title does not lead to social respect except if you are binging positive contribution to the society
 
Na Doctor of Medicine M.D akiendelea kusoma/kutafiti mpaka akapata PhD, Je anaongezea Dr ingine mbele ya jina au, yaani Dr. Dr. (ya kwanza kuonyesha yeye ni M.D na ya pili PhD? )

du hii kali, Madaktari tusiadieni hapo ! ataitwa Mr. tena au yaani naona kama Dr.Dr itaneutralize vile hebu nimwulize mwanangu...........................
 
hata kama mtu ana degree tatu, bado naona kujiita docta ni kutaka sifa ambazo hazina maana.Fanya vitu watu wakuheshimu , na si kujiona bora kwasababu ya doctorate .Ni sawa nami nikajiita PR Singo kisa nimesoma public relatioins!
 
ehhh! hili li thread bado lipo hewani tu !
 
Back
Top Bottom