GeniusBrain
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 4,315
- 309
Mkuu anawagombeza kama watoto ma doc wamekuwa wadogo kama tule tudawa wanakotupaga
wako nyumbani kwake. wacha aongee hata mapovu yamtoke.Mkuu anawagombeza kama watoto ma doc wamekuwa wadogo kama tule tudawa wanakotupaga
Mkuu anawagombeza kama watoto ma doc wamekuwa wadogo kama tule tudawa wanakotupaga
naskia mkw.ere aliwaita waongee faragha na sasa kawapigia magoti akiwasihi wasitishe mgomo.Usifanye mchezo na mtu anaeshika dola, hata maandiko matakatifu yanasema yanasema ! nilijua tu wakifika kwa mkulu lazima wawe wadogo
m.kwere ameachia tabasamu la nguvuNdio wamekaribishwa hapa maongezi yanaanza na ******
Usifanye mchezo na mtu anaeshika dola, hata maandiko matakatifu yanasema yanasema ! nilijua tu wakifika kwa mkulu lazima wawe wadogo
Wanapiga sambusa na kahawa kwa sana na juis kama kawa wanaonekana walikuwa na njaa kali;wamepewa nafasi naona wana kigugumizi mkuu kaweka ndita
Mkuu anawagombeza kama watoto ma doc wamekuwa wadogo kama tule tudawa wanakotupaga
Kila mtu anapapenda ikulu, CDM nao kiherehere chao wakaenda, na madaktari nao wamekwenda , haya na JF tujipange twende kwani hao wote wanafuata juice za ikulu