Madaktari wanavyowafanya wake zenu

Ur not serious too.
Mtu ameenda kusafishwa kizazi aombwe ngono na huo uchafu?!! Usiwachafue madakitari wetu bana.
Mzee kwani akipona haliki si swala la maelewano sio wakati akiwa mgonjwa tuu , sio mbaya ulivyofikilia lakini.
 
Anaweza kwenda akiwa bado anatatizo ila akiponaa anaweza anzisha mahusiano usifikilie wakati wa tukio tuu ila hata baada ya hapoo
 
Mkuu...kusafishwa...unakua unableed na Tena Muda mwingine heavily na maumivu juu..Sasa huyo doctor wakutaka kufanya Mapenzi Muda Kama huo...atakuwa anashida
 
Lakushangaa nikuwa. Wanaosema wanaliwa wote ni wanaume. Ingekuwa vizuri kama hii mada ingesapotiwa na wanawake ndo tungeona ni ukweli
Hao vilevile ni jamii na huenda wakawemo na madaktari bila kujua, ila wadada watatoaa tu ushahidi waoo
 
Kwani madaktari ni malaika?
Wana weaknesses kama binadamu wengine.
Wanaweza kufanya lolote lile ili kuburudisha mioyo yao.
Kuna Musa wakuburudisha nafSI...Muda wakusafishwa ... doctor aone ndo Muda wakujiburudisha...zile Damu zinatoka nyingi...na maumivu kibao[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Dooo huyo doctor sio
 
Madoctor Ni watu wanahisia..wengine wanahadi magonjwa ya Akili....Kwaiyo wanaweza Baka...
 
Mkuu...kusafishwa...unakua unableed na Tena Muda mwingine heavily na maumivu juu..Sasa huyo doctor wakutaka kufanya Mapenzi Muda Kama huo...atakuwa anashida
Mkuu akiponaaaa si lazima aajue mwendelezo wa hali yakee, hlf nimeongelea mazingira tofauti, kuna baadhi wanaenda wana p.i.d n magonjwa mengine, after time huwa mawasiliano yankuwepooo na kun wanao liwa on the spot,



Kwa mfano ana mimba ina mwiki mbili, tatu au mwezi na hana tatizo kwan hapo ana bleed si analiwa ??????
 
Huduma hiyo daktari hafanyi akiwa pekeake anakuwa na wasaidizi wake. Labda kama kuna kitu umekiruka kwenye uzi wako
Huduma ipi hiyi doctor anasaidiwa...Kama yakusafishwa Wala haitaji usaidizi
 
Mleta mada muongo mkubwa na hujui procedure za hospital hafu hayo mafuta hupakwa k Ili itanukwe viingizwe vifaa vya kusafisha. Pia daktari lazima awe na nurse wa jinsia tofauti pia theatre huwa ni kubwa na kuna watu tofauti tofauti mle. Tuache kuchafua madaktari wetu wameshaona k za kila namna zilizokeketwa zisizo na mashavu, sasa why wawe na ugwadu na watu wengine.
 
Lakushangaa nikuwa. Wanaosema wanaliwa wote ni wanaume. Ingekuwa vizuri kama hii mada ingesapotiwa na wanawake ndo tungeona ni ukweli
Ni uongo wa wanaume kudaganyana hivi wanajua mifumo ya wanawake na wazazi mtu unaumwa kufa daktari anakuokoa hamu itoke wapi, hata ukiwa tu labour ward mnakuwa wengi, theatre yenyewe ni kubwa na kuna vitanda vingi ma nurse wakutosha hyo hamu itoke wapi?
 
Mkuuu ukitaka kuliwa utaliwa...lakini madoctor asilimia kuubwa hawana Muda Huu. Sasa mimba ya wiki mbili doctor anakuchungulia uchi wa Nini?.. kwani ukienda na mimba ndo doctor anakula?...kwani nikienda naharaisha au kungoa jino au maradhi Mengine?

Doctor Anaweza Tongoza akikutamani au akikupenda...Kama ambavyo watu wengine hufanya..

Alafu PID.... wanaangalia kwa ultrasound...kwa uzoefu Wangu

Doctor unamwambia symptoms anakuandikia uende maabara au ultrasound.

Doctor Ni mwanadamu na Kuna wengine wanajitongozesha wenyewe kwa madoctor.

Swala la doctor kula mgonjwa lipo but mazingira Mengine ndo hayaiingii akilini
 
Msimbishie wapo wanaofanya hivyo, mie kuna Dr nilikuwa namfahamu vizuri, watu walikuwa wanamlalamikia sana japo alikuwa Dr mwenye elimu yake nzuri kwa ajili ya kusaidia wanawake, kabla ya kazi alikuwa anawapa dawa mtu analala anafanya yake kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…