Siyo hivyo mkuu, nina shida binafsi...... Nasikia huko musoma kuna zoezi la unyunyuziaji dawa za mbu majumban, nilitaka nipate taarifa ni lini linaanza.Watakufuataje wakati hata hoja za hayo mazungumzo hujaiweka?
Au ndo yale mambo ya mitego ya kujuana ID, nani ni nani?
Sio madaktari we mtafute mratibu wa malaria wa eneo husika uongee naye shida yako.Siyo hivyo mkuu, nina shida binafsi...... Nasikia huko musoma kuna zoezi la unyunyuziaji dawa za mbu majumban, nilitaka nipate taarifa ni lini linaanza.