Hata kama ukiwa upinzani haipendezi kuhamasisha jambo la kutesa binadamu wezako..... hakuna mgomo usioumiza watu.
watu wenye mtindio wa ubongo pekee ndio wana uwezo wa kuandika post/sred kama hii ya kinyama kabisa.
Tumechoka kuwasikia mkinung'unika juu ya maslahi na madai yenu.Mmekuwa wasemaji sana nyinyi.Sasa tunataka matendo. Simamieni haki zenu.Ziteteeni.Kama mtaamua mambo yaendelee yalivyo,nyamazeni milele.Tumewachoka na sms zenu.
Tumewachoka na 'conference' zenu.Tarehe zenu za migomo tunazijua.Tutazizingatia.Msipogoma,msitujue tena.Hatutawaunga mkono kivitendo wala kimawazo.Fanyeni kweli.Ole wenu msigome...

Hata kama Ndugu yangu atafariki kwa kukosa huduma sijali.Madaktari na walimu wapewe stahili zao.Muda wao ndio huu.Wasiupoteze.Wasipogoma....watakiona cha mtema kuniVUTA-NKUVUTE, umenichekesha sana, bibi yako mgonjwa, mama pressure, baba figo-wewe chapombe ajali nnje nnje-daktari agome, mtoto wako lishe duni- utapone kweliiiiiiiiiiiiiiii??
Tumechoka kuwasikia mkinung'unika juu ya maslahi na madai yenu.Mmekuwa wasemaji sana nyinyi.Sasa tunataka matendo. Simamieni haki zenu.Ziteteeni.Kama mtaamua mambo yaendelee yalivyo,nyamazeni milele.Tumewachoka na sms zenu.
Tumewachoka na 'conference' zenu.Tarehe zenu za migomo tunazijua.Tutazizingatia.Msipogoma,msitujue tena.Hatutawaunga mkono kivitendo wala kimawazo.Fanyeni kweli.Ole wenu msigome...
Wewe unaowajali ni jamaa zako tu,yaani,unaangalia tumbo lako tu.Nao madaktari wana jamaa zao wanao wategemea.mimi kama rais wa tano,napinga kabisa mgomo wa madaktari kwa sababu babu yangu na bibi yangu na wazazi wangu ni wagonjwa na hawana uwezo wa kwenda India wala hindu mandal wala regency hospital.
Hata kama ukiwa upinzani haipendezi kuhamasisha jambo la kutesa binadamu wezako..... hakuna mgomo usioumiza watu.
sasa ndugu yangu VUTA-NKUVUTE mbona kama unaugombeza tena? Hebu weye tuambie manake tunahitaji pamoja na mawazo ya watu wengine kama nyie yatakayo tuongezea nguvu katika hoja zetu so tunakaribismaoni has ya utaalam wa kisheria kabisa.
MTK umesema vizuri sana na pia nafikiri ifike mahali sasa maamuzi magumu yatatuliwe kwa njia ngumu. tuSimamieni jambo mnalolitaka na kuamini ni haki yenu halali kwa nguvu zenu zote, mkiingiza huruma na maswala ya haki za binadamu mtakwama daima kwani kila mara mkidai jambo na kutishia kugoma serikali inawategea ili wananchi wateseke na wawageuzie kibao mlaumiwe ninyi kwamba hamna huruma na wananchi watanzania wenzenu!! Nyani ukimuangalia usoni hutakaa umuue katu!!; "Sometimes desperate situations demand desperate measures!!"
It beats my imagination that this same government splashed 57Bn shillings over the 50 years independence celebrations!! imagine how much that kind of money would have covered to settle teachers long overdue salary claims, EAC retirees,Doctors demands, Shule za kata that have no teachers, labaratories and teachers housing!!
Stay firm, focused, consistent and persistent, msiyumbe katika madai yenu wananchi watawaelewa. best wishes.
Mgogoro wa madaktari ni mgogoro wa kimaslahi.Huu unapelekea mgomo halali wa kisheria kama taratibu zifuatavyo zitafuatwa.Kwanza,mgogoro uwe umepelekwa kwenye Tume ya Usuluhishi na Uamuzi.Pili,mgogoro ubaki bila utatuzi kwa kipindi cha siku thelathini au kipindi kingine cha nyongeza cha Msuluhishi cha siku thelathini.Tatu,mgomo unaitishwa na Chama cha Wafanyakazi kufuatia kura kupigwa kikatiba ya chama huku wengi wakiunga mkono mgomo.Na tano,Notisi ya saa arobaini na nane iwe imetolewa kwa Mwajiri(hapa Serikali).Mkuu,hizo ndizo hatua za kisheria za mgomo halali.Kinyume na hapo,Serikali yaweza kufanikiwa kuweka Pingamizi au hata kuwaadhibu wagomaji.Walimu na Madaktari na wasikie...