ushauri wa bure kwa serikali;futeni hizo taratibu na michakato coz imedhihriika wazi kuwa haina faida maana imefikia hatua mbaya mpaka katika uhai wa watanzania mahospitalini mnasema ni taratibu serikali na kesho CAG akipita tunasikia mabilioni ya hela yamepotea na maelezo hamna!!!hongereni madaktari na chama chenu kwa msimamo wenu kwa ujumla na bado inabidi mishahara ya madaktari ifanyiwe review.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.