Mwanajamii
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 7,063
- 72
inasemekana hiki ndicho kilichojibiwa kwa wawakilishi wa madaktari walivyoenda ofisi ya waziri mkuu.sasa kama ni kweli hapa ndipo utaona aina ya viongozi tulionao nchini.je ni yupi aliyepungukiwa busara?Nawashangaa sana nyie madaktari... mambo mnayofanyiana, yaani hampendani kabisa, hamna confidence na hata mkiweka tools down haitowasaidia! Sasa ni nani atakayewaheshimu na kuwatukuza?!
By Katibu mkuu, PM's Office
Nini tafsiri ya maneno yale ya aya ya mwisho kwenye gazeti la Mwananchi la leo. "kuna taarifa kwamba baadhi ya wakuu wa idara katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili na hospitali nyingine nchini, wapo nyuma ya mgomo huo".
Hizi sasa siasa. Hivi kweli yale madai yalioorodheshwa inawezekana Serikali ikayapuuza? Madai ya madawa, vitendea kazi, na kuangalia sheria ya uhamisho wa Madaktari bingwa ni miongoni mwa madai ya Chama cha madaktari Tanzania (MAT). Ukiangalia madai mengine yanahitaji marekebisho ya sheria, mengine yanahitaji fedha n.k. Mmi naamini kuna majibu ambayo Serikali imeyatoa ila kwa vile tu tayari tatizo limekaa kwa namna ambayo inaonekana kama kupata msukumo toka nje basi inabidi wataalamu wetu wasahau miiko ya kazi yao.
Ndugu yangu mimi naungana na wewe kwamba busara zinahitajika katika suala hili.
Leo katika gazeti la Mwananchi , kuna taarifa ya Makamu wa Rais wa Chama cha madaktari Tanzania (MAT), Primus Saidia kwamba Majibu toka kwa mwakilishi wa ofisi ya Waziri Mkuu yamewakatisha tamaa. Aidha kuna taarifa kwamba huduma katika hospitali ya muhimbili imedorora na kwamba kuna dalili kwamba kuna uwezekano wa kuwepo mgomo siku ya Jumatatu yaani kesho.
Pamoja na taarifa hiyo ya Dk Saidia , sikuona aya iliyotamka majibu walioyapata toka kwa Waziri Mkuu. Je majibu hayo ni siri?
Najiuliza swali hilo kwa vile ninakuwa na wasiwasi sana kwamba, isije ikawa Madaktari nao wanalihusisha tatizo hilo na mambo ya siasa na kujisahau kwamba wao ni wataalamu. Watuambie ni majibu gani wamepewa toka ofisi ya waziri Mkuu ili watanzania tujue ukweli. Mimi naamini Serikali inatambua umuhimu watumishi wake wote na siyo Madaktari pekee. Busara zaidi zinahitajika toka kwa wataalam wetu hawa. Wapime, wakumbuke pia kuwa Serikali haijishughulishi na Madaktari tu. Ni wazi kabisa kwamba madai yao ni halali, lakini kutokana na ukweli kwamba siyo wao peke yao wanaohitaji kuhudumiwa na Serikali , wanaowajibu wa kuangalia ukweli wa viwango wanavyovidai kwa kutambua kwamba ni watumishi wa umma kama watumishi wengine kama mwalimu, mhandisi, askari na wengine wengi. Zaidi wajiulize na kutafakari juu ya nafasi zao na jinsi ambavyo sasa wagonjwa wanapata shida pale. Muhimbili.

Maneno haya yalishawekwa humu toka juzi!! usome thead nyingine mkuu!
" Nawashangaa sana nyie madaktari mambo mnayofanyiana, yaani hampendani kabisa,
hamna confidence na hata mkiweka tools down haitowasaidia! "
"Nilifaulu PCB,lakini kwa kutambua ubovu wa MEDICINE mzazi wangu akanisomesha
ACCOUNTS,sasa sijui mnalalamikia nini!, mlichagua wenyewe"
kwani wamesema wanataka kuongezewa mshahara

[QUOTE
"
"Nilifaulu PCB,lakini kwa kutambua ubovu wa MEDICINE mzazi wangu akanisomesha
ACCOUNTS,sasa sijui mnalalamikia nini!, mlichagua wenyewe"
[QUOT

Matatizo mengi ya nchi hii yanatokana na ubovu wa viongozi ambao wamewekwa na Kiongozi mkuu ambaye pia ni mbovu.
Hivi aliongea hayo maneno.. duh
Maneno haya yalishawekwa humu toka juzi!! usome thead nyingine mkuu!
" Nawashangaa sana nyie madaktari mambo mnayofanyiana, yaani hampendani kabisa,
hamna confidence na hata mkiweka tools down haitowasaidia! "
"Nilifaulu PCB,lakini kwa kutambua ubovu wa MEDICINE mzazi wangu akanisomesha
ACCOUNTS,sasa sijui mnalalamikia nini!, mlichagua wenyewe"
sema ulifeli kwani sisi tutakucheka na pili inawezekana ulifuata mkumbo wa kusoma PCB wakati hujui utasomea kitu gani mitanzania bwana kila kitu inajifanya inajua...