Serikali ishindwe? waulize magwanda na wanafunzi wa mlimani.
Kukutana ni madaktari waliofanya dharau jana, Waziri Mkuu kawangoja hawakutokea, walitaka wabembelezwe? Mwanachi ataekuwa nyuma ya hawa na kuwaunga mkono huyo haitakii mema Tanzania.
Wapo walioenda kazini?
Madaktari wana uhakika wa kupata kazi popote ndo maana wanakomaa hawataki uzushi.Ktk hili sakata, Madaktari watashindwa.... Huwezi kucheza na Serikali ukabaki salama.
Nawahurumia wale wenzangu na mimi wanaofuata mkumbo na mwishowe kupoteza ajira.
RUDINI KAZINI.....otherwise ...Very soon mtagundua kuwa mlikuwa mnapoteza muda na imeshakula kwenu.
Ktk hili sakata, Madaktari watashindwa.... Huwezi kucheza na Serikali ukabaki salama.

Porojo za Kariakoo..............Umeshambiwa na mama Makinda, mambo yako ya Kariakoo, hukohuko!!!Serikali ishindwe? waulize magwanda na wanafunzi wa mlimani.
Kukutana ni madaktari waliofanya dharau jana, Waziri Mkuu kawangoja hawakutokea, walitaka wabembelezwe? Mwanachi ataekuwa nyuma ya hawa na kuwaunga mkono huyo haitakii mema Tanzania.
kwetu sisi Ngoromiko ni shetani au satana
sijakuelewa mkuu ndo unawatisha ama?
Wapo walioenda kazini?
Ktk hili sakata, Madaktari watashindwa.... Huwezi kucheza na Serikali ukabaki salama.
Nawahurumia wale wenzangu na mimi wanaofuata mkumbo na mwishowe kupoteza ajira.
RUDINI KAZINI.....otherwise ...Very soon mtagundua kuwa mlikuwa mnapoteza muda na imeshakula kwenu.
acha wooga wewe, kama serikali haiwasikilizi wananchi wake itamsikiliza nani?
serikali imewekwa na wananchi ni lazima iwasikilize wananchi wake au mnadhani hii nchi ni ya tabaka lenu tuuu TUMECHOKA!
misri, libya, tunisia zote hazikuwa serikari? ya kikwete na wapuuzi wenzako ndo serikari?Ktk hili sakata, Madaktari watashindwa.... Huwezi kucheza na Serikali ukabaki salama.Nawahurumia wale wenzangu na mimi wanaofuata mkumbo na mwishowe kupoteza ajira. RUDINI KAZINI.....otherwise ...Very soon mtagundua kuwa mlikuwa mnapoteza muda na imeshakula kwenu.
Tuombe mgomo huo uishe salama lakini kuwaona maeneo ya kazini siyo tija maana wanaweza kuwa katika mgomo baridi ambao ni mbaya sana kwa maana athari zake ni kubwa sana. Unakuwa unalipa watu ambao hawafanyi kazi maana watakuwa wanafika na kuondoka huku hawajafanya kazi na wewe unataka kujiridhisha kama wamesaini vitabu vya mahudhurio.
Ktk hili sakata, Madaktari watashindwa.... Huwezi kucheza na Serikali ukabaki salama.
Nawahurumia wale wenzangu na mimi wanaofuata mkumbo na mwishowe kupoteza ajira.
RUDINI KAZINI.....otherwise ...Very soon mtagundua kuwa mlikuwa mnapoteza muda na imeshakula kwenu.
​same old story divide and rule but this time it won't workktk hili sakata, madaktari watashindwa.... Huwezi kucheza na serikali ukabaki salama.
Nawahurumia wale wenzangu na mimi wanaofuata mkumbo na mwishowe kupoteza ajira.
Rudini kazini.....otherwise ...very soon mtagundua kuwa mlikuwa mnapoteza muda na imeshakula kwenu.
Ktk hili sakata, Madaktari watashindwa.... Huwezi kucheza na Serikali ukabaki salama.
Nawahurumia wale wenzangu na mimi wanaofuata mkumbo na mwishowe kupoteza ajira.
RUDINI KAZINI.....otherwise ...Very soon mtagundua kuwa mlikuwa mnapoteza muda na imeshakula kwenu.
SAME OLD STORY DIVIDE AND RULE BUT THIS TIME IT WON'T WORK :smash:Ktk hili sakata, Madaktari watashindwa.... Huwezi kucheza na Serikali ukabaki salama.
Nawahurumia wale wenzangu na mimi wanaofuata mkumbo na mwishowe kupoteza ajira.
RUDINI KAZINI.....otherwise ...Very soon mtagundua kuwa mlikuwa mnapoteza muda na imeshakula kwenu.
misri, libya, tunisia zote hazikuwa serikari? ya kikwete na wapuuzi wenzako ndo serikari?