Madaktari kupandikiza uume Marekani

Madaktari kupandikiza uume Marekani

Donatila

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
8,274
Reaction score
25,322
Upasuaji umepangwa kufanyika kwa mara ya kwanza kupandikiza uume nchini Marekani, kwa lengo la kuwasaidia mpiganaji wa zamani

Upasuaji huo wa saa 12- utahusisha ushonaji wa neva muhimu na mishipa ya damu kwa ajili ya kutunza mkojo na kumuwezesha mgonjwa kufanya tendo la ngono.

Jopo la madaktari kutoka Hospitali ya chuo kikuu cha Hopkins (JHU) wanapanga kumfanyia upasuaji huyo mwanajeshi wa zamani mwenye umri wa miaka 60kama sehemu ya majaribio.

Upasuaji wenyewe

Hatua ya kwanza ya upasuaji huo itaanza kwa kuondoa uume kutoka kwa kijana aliefariki ambaye alijitolea kutoa uume wake kwa ruhusa ya familia yake.

Kwa mujibu wa jopo la madakatari katika JHU matumaini ya mwanajeshi huyo wa zamani ni kwamba hisia za uume wake zitarejea katika muda wa miezi 12.

Uwezekano wa mgonjwa kupata watoto, utategemea kiwango cha jeraha na mafanikio ya upasuaji huo.

Lakini Wanasayansi wanasema kutokana na kwamba ni upasuaji mmoja wa kupandikiza uume uliofanyika, madaktari watakua makini kuhakikisha kuna matumaini ya kweli.

Chanzo:
BBC Swahili
 
Haya bana mkuu tunashukuru kwa kutuelimisha, ngoja wamalize kusoma wanakuja Sasa hivi
 
Wale wadada waliozoea kukata nyeti za wanaume ili kuwakomoa watafute mbinu nyingine
 
Hujasema hyuyo mwanajeshi alipotezea wapi kiungo, je ni vitani?
 
imeghairisha nilichotaka kuandika.
 
Me nauliza na wale Shemales hua wanauwezo wa kumpa mwanamke mimba??
 
Bora lifanikiwe zoezi hilo maana wanamume marijali tunazidi kupungua kuna mijitu inajialika kuwa wanawake.
 
Shemale ni fiction tu haijwahi kuexist

wapo wewe,rejea tukio la miaka ya 2005-08,pale segerea,walishindwa wamuweke wapi,kwa madem au madume,sababu jamaa alkua nazo zote na znpaga kazi kwa uwiano wa 40% na 60%,mzee mwingne alkuwepo tmk tungi,akawa anapgwa na mzee mwenzie,alkua nazo mbili,yaan chuma na kile kipochi
 
Kazi ipo, kwa hiyo hilo zoezi likifanikiwa ina maana mwanamke atakuwa na uhuru wa kujichagulia jinsiaaa...au itafanya kazi kwa waliowahi kuwa na jinsi ya kiume wakapata shida maana sielewi elewi mantiki yao hiyo ya kumsaidia Muumba kazi yake
 
wapo wewe,rejea tukio la miaka ya 2005-08,pale segerea,walishindwa wamuweke wapi,kwa madem au madume,sababu jamaa alkua nazo zote na znpaga kazi kwa uwiano wa 40% na 60%,mzee mwingne alkuwepo tmk tungi,akawa anapgwa na mzee mwenzie,alkua nazo mbili,yaan chuma na kile kipochi

Umeifanya week end yangu kuwa mwanana japo na zigo la wisky hapa,mh safisana
 
Back
Top Bottom