Jaribu utumia google uone madaktri wa nchi zinazoeneldea wanatuima style gani kugoma bila kuathiri ethics za udaktari awananchi Walimu hawali kiapo lakini madari nadhani wana kiapo cha taaluma yao..... Kama nimekosea nisahihishe.Umenishangaza sana kwa mawazo yako haya. Unataka kusema Madaktari hawana haki ya kulipwa stahili zao eti kwa kuwa wanatakiwa kuhudumia wananchi?
Unaweza kufanya kazi ukiwa na njaa? Madaktari wana familia zinazowategemea na kwa bahati mbaya wanafanya kazi kubwa sana tena kwa mazingira magumu. Tafadhali sana, usidharau taaluma ya watu.
Wanasiasa hawana la maana wanalofanya lakini hata kabla ya kuidhinishwa walijiongezea posho kufikia 200K kwa siku, we unaona ni sawa.
Mtazamaji...
huwezi kutegemea google kufanya maamuzi
we have different context na pia on the same note, jaribu basi na wewe kugugo uone madaktari wanavyokua treated nchi nyingine
upuuzi sana kutumia gugo kufanya maamuzi....
DenovoMtazamaji...
huwezi kutegemea google kufanya maamuzi
we have different context na pia on the same note, jaribu basi na wewe kugugo uone madaktari wanavyokua treated nchi nyingine
upuuzi sana kutumia gugo kufanya maamuzi....
Denovo
Angalia usije ukauta hata comment yangu, yako ya yule na wale zilizojaa jf nazo ukaziita ni upuuzi. Hii dunia ya sasa imekuwa kama kijiji sababau ya internet sasa kama unaona ni upuuzi kutafuta information mtandaoni nina wasi wasi. Utakuja kujua ukweli wa 2011 mwaka 2015 .too late.
Kufanya maamuzi unahitaji kuwa taaarfa ya uhakika kwa muda muafaka. Ukiona serikali innga mkenge kushindwa kutambua Rchmond ni kampun ya kwenye brifcase ni mawazo kama yako. labda wangegoogle tu wangejua. Wao wanatagema document wanazoletewa na tapeli....... . So note that unaweza kutumia internet na nyenzo kama Google kutafata taarifa amabazo zinaweza kusaidia kufanya maamuzi sahihi.
Issue ni whatver geographical lacationan factrs ethics za taaluma udatari ni zile zile iwe ni Norway au Kigoma. Yes kuna problem naubali lakini madakari kugoma ga inonyesha watu wengine wamevamia fani. Kua chice watu wanafanya sababu ya masi ao za ufaulu. Ukiamua kuingu kwenye fani ya udaktari wanatakiwa wajue respondbilitiesna burnen na limitation za taaluma hiyo.
Ninachosema hata madakatriri wa nchi nchi ilizoenelea wana grievaces lakini zipo namna za kuboycot. Ndiowajifunz weno waavyobotct . Sio wanagoma na Kukodi matarumbeta beta watu wanakuf akwa mgomo wao. Hiyo niunethical no materht maa yao yawe halali vipi.
Dereva wa daladalala waweza kugoma kwenda kazini, Mwalimu anaweza kugoma kufundisha hao wtehunmdhara ya uhi yaaweza utokea sababu ya mgomo wao. Lakini kitendo cha daktari ambye hajatumia hata option a, wala hajaribu optio b uimbili kugoma ndio Upuuzi.
Taaizo watu wanachanganya haya mambo na siasa za watu hapa tutalaumu CCM . Yes CCM ni sehemu y tatizo lakini na haawa madaaktari wanaogoma ovyo ovyo ni tatizo tena hatari.
Mimi nachona hapa Tanzania kilakitu ni siasa tu . Hawa madaktari zaidi ya mambo yao na serikali tunatakiwa tusikie wakiongelea mambo ya mgonjwa wa mguu kufanyiwa operationny a kichwa na wa kichwa kufanyiwa opertion ya mguu. Tunatiwa tusikie waiongeea magonjwa kama Ukimwi na Kikombe cha babu......
NB
- Madaktati wanataiwa kuwa a uwezo wa kujua njia gani watumie kuwaslisha kero zo bila kuwahduru wananchi.....
- Madaktari wanakula kiapo tofauti na watu kama mimi fundi mchundo. Unakijua kiapo wanachokula?
Kwani uko darasani hapa.? u wewe ni under maturity age?Mkuu hebu tulia kidogo,acha jazba halafu andika kwa mtiririko unaoeleweka,maana umeandika kama vile ulikuwa unakimbizwa au unagombana na key board.
Kwani uko darasani hapa.? u wewe ni under maturity age?
Safi mtazamaji . kweli hawa wanaojiita madaktari wamezidi . Watafute majimbo ya uchaguzi wawe wanasiasa.
Moja tu ni kumfugia au kumzuia mkurugenzi wa wa Hospitali ya muhimbi kutoingia ofisni hadi matatizo yao yatatuliwe.Na wewe wajiita great thinker .. hebu toa mfano ulitaka madactari watumie njia gani .. kama mazungumzo ya mezani wanapigwa kalenda kila siku ..
Kukuthibitishia hilo naomba uweke hapa comment zako zozote tatu kutoka jukwa lolote ulizchangia zenye chembe ya u great thinker
hapo kwenye red inaonesha nani kakwambia yupo kwenye mashindano k
Ungekuwa wewe haupo kwenye mashindao usingeanza kutumia maneno kama Na wewe unajiita great thinker. Maana yake umepima hoja yangu umeona niko low . ndio nataka kuona how high hoja zako zipo na zipo wapi mpaka uone niko low kiasi hicho cha mpaa wewe unaweza kuhoji kama na fahari ni great thinker.
Sana sana naona copy and paste na vijembe. Zaidi ni thread ya Bday. Huo ndio u geat thinker????????
Ndio nakuambia mimi Fahari sio great thinker. Sasa nionyeshe wewe Njiwa comment zako tatu za u great thinker maaana nimetafuta sijaona kitu
otherwise acha kutumia neno ugreat thinkerkama defence mechnisam yako au kudhani na wewe ni mmoja wao. Uweli huna huna tofauti na fahari. Tuko wengi usidhani wote wanawawashambulia wenzao kutokuwa great thinker basi wao ni great thinker. Na ndio tatizo la JF
what was wrong na thread ya birthday ! mtu kusema leo ni siku yangu ya kuzaliwa ni kipimo kwamba uwezo wake wake kufikiri ni mdogo ni wangapi wamekuja na thread kama zile hadi ukaamua ku ni pick mimi si bure mate we una lako jambo ....!!! seriously ... & yeh mi ni mmoja wa ma great thinker do u have any problem wit that ??!
Kikao cha mkutano mkuu wa dharura wa chama cha madaktari Tanzania (MAT) kilichofanyika leo siku ya jumamosi, tarehe 14/01/2012 ukumbi wa JAFFARY COMPLEX kimejadili kwa kina yafuatayo:
1.Kwamba, chama cha madaktari Tanzania kimejadili na kuazimia kutoa masaa 72 kwa serikali kuwa Intern doctors wote waliohamishwa warudishwe Muhimbili mara moja wakamalizie muda wao. Na kwamba ifahamike kuwa interns huomba kwenda kufanya internship katika hospitali Fulani kutegemeana na malengo ya baadaye waliojiwekea. Na pili kuna baadhi ya vifaa vipo mf. Muhimbili na huko kwingine haviko. Madaktari wemesikitishwa sana na uamuzi huu kwa vile haieleweki ni kwa nini intern doctors waadhibiwe wakati walidai walipwe mishahara yao tu na serikali ilikiri kosa hilo. Wanachama wangependa kuona waliofanya uzembe huo wanawajibishwa mara moja na sio kuachwa waendelee kuwaadhibu madaktari wasio na kosa.
2. Kwamba, kwa kuwa Intern doctors wamekuwa wakifanya kazi bila malipo kwa muda mrefu na hali hiyo ikapelekea kusitisha kazi ndipo serikali ikaamua kuwalipa mishahara yao. Kufuatia kuendelea kusababisha adha kwa madaktari na wataalamu wengine wa afya na hatimaye kusababisha huduma mbovu kwa wagonjwa, Chama cha madaktari kimeona kimshauri Mh. Rais atafute ajira nyingine kwa ajili ya maafisa waandamizi wafuatao:
a. Katibu Mkuu, wizara ya Afya , Ms. Blandina Nyoni b. Mganga Mkuu wa serikali, Dr. Deo Mtasiwa
3. Kwamba waziri wa afya Dr. Hadji Mponda (MB) afute kauli yake inayoashiria kwamba intern doctors ni wanafunzi wa udaktari wa mwaka wa 5. Ieleweke kwamba ni madaktari kamili, waliohitimu mafunzo yao na kula kiapo rasmi cha udaktari. Na chama cha madaktari kimesikitishwa sana na upotoshwaji huuu wa mara kwa mara. Kutokana na hayo hapo juu basi chama cha madaktari Tanzania kina msamehe kwani inaonekana hajui atendalo. Ijulikane kwamba mjadala wa hivi ulishawahi kuibushwa mwaka
2005 na waziri wa afya kipindi hicho alikiri bayana kwamba intern ni daktari kamili aliyefuzu.
4. Kwamba, chama cha madaktari Tanzania kimeamua kumsimamisha uanachama wa chama hiki Dkt. Deo Mtasiwa, ambaye pia ni Mganga Mkuu wa Serikali (CMO), kwa kosa la kusaliti fani ya udaktari na pia kwa kushindwa kumshauri waziri wa afya vizuri kuhusiana na mambo yanayohusu fani ya udaktari Tanzania. Mkutano huu unamsimamisha rasmi Uanachama huo kwa kipindi cha mwaka mmoja. Taratibu za kumrejesha zitajadiliwa kwenye Mkutano mkuu wa kawaida wa chama. Hii itakuwa fundisho kwa madaktari wengine wote nchini.
5. Kwamba chama cha madaktari Tanzania (MAT) kimeazimia kuitisha mkutano mwingine mkubwa wa wanachama wote siku ya jumatano tarehe
18/01/2012, kuanzia saa tatu asubuhi na kuendelea kwenye ukumbi
utakaotangazwa. Agenda za mkutano huo, pamoja na mambo mengine, zitakuwa zifuatazo:
i. Hatma ya heshima ya fani ya udaktari na mustakabali wa huduma za afya kwa watanzania
ii. Kwa nini serikali haijaanza kulipa posho ya kazi muda wa ziada (on call allowance) kama ilivyopitishwa mwaka 1990 na kufanyiwa maboresho mwaka 2008.
iii. Mshahara mpya wa daktari unaoendana na elimu, ujuzi, umuhimu, hadhi, majukumu, na hali ya uchumi wa sasa na mfumuko wa bei.
iv. Maslahi mengine ya madaktari kama nyumba, posho ya mazingira magumu, ufadhili wa masomo ya elimu ya juu na posho ya kufanya kazi kwenye mazingira hatarishi( Risk allowance).
v. Kuhamishwa hovyo hovyo kwa madaktari bingwa 61
vi. Mengineyo (kwa idhini ya mwenyekiti)
IMETOLEWA
DR. NAMALA MKOPI
RAIS CHAMA CHA MADAKTARI TANZANIA (MAT)