Pinda ni beneficiary wa posho... unajua anakunja shilingi ngapi kwa kikao?? hata cha leo alichoitisha yeye?Serikali tatizo kila kitu inafanya ubabe wakijiona wao ni wajuaji zaidi mbona wakati wabunge wanajiongezea posho Pinda hakutoa kauli au amri yoyte ile lakini leo hii kwa madaktari anajifanya kutoa kauli za kuwatishia kuwa watafukuzwa kazi, tatizo la Pinda nafikiri kazi yake ni kupokea maelekezo na kuyatamka hivyo hivyo bila kujua athari zake mbeleni zikoje...
Cousin naona serikali inajaribu kupima kina cha maji kwa kutumia mkonoSteve Dii,
Hebu jiulize, mnajaribu suluhu, jamaa wanasmea kama hamtaki acheni tuta-import from Cuba, then out of blue mnakwenda kwa PM then katibu wake anawayayusha, then on saturday evening, anasema mnkutana kesho asubuhi, not a working day, ni watu wazima, wanamipango yao ya wikendi na familia, wana imani zao zisizowaruhusu kuhangaika jumamosi wala jumapili, ghafla PM anapanga atakacho, and then anakwenda kumbini, watu hawajafika, kisha anatoa order
this is crap!!!!
Pinda needs to learn that hea has the least convincing power ndani ya cabinet, afadhali hata adam malima, the best he can do ni kulia na kushangaa, au kwenda kijijini kupiga picha akiwa shamba.... HE IS LOSING IT, and ni mmoja wa outsiders
LETS WAIT AND SEE, TOMORROW IS JUST A FEW HOURS TO COME!!!!
Nafananisha hii na mkeo karudi kwao, unamuita muongee hatokei, and then unasema kesho asubuhi usipokuja umejifukuzisha.... in a modern world, she wont come back!!!
Huyu PM angekuwa na busara angekubali ombi la madaktari kukutana nao kesho, uwaziri mkuu wake usingepungua na labda angejijengea heshima kwenye jamii. Kesho aibu itamshika pale madaktari watakapoendelea na mikutano yao.Steve Dii,