Madaktari bingwa

Madaktari bingwa

Jiwe Linaloishi

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2008
Posts
3,736
Reaction score
2,139
Kulikuwa na mkutano wa madaktari bingwa kutoka nchi mbali mbali duniani wakati wa lunch kwenye meza wakakutana madaktari kutoka Ujerumani, China na Tanzania, wakawa wanajadiliana mafanikio waliyoyapata nchini mwao, Mchina akasema kwao alizaliwa mtoto hana mkono wakamwekea wa bandia na sasa ni bingwa wa Karate, Mjerumani akasema hiyo cha mtoto kwetu alizaliwa mtoto hana miguu yote tukamwekea ya bandia na sasa ni Bingwa wa mbio za olimpiki na ana medali 2 za dhahabu, Mtanzania akacheka akasema hamjafikia rekodi yetu sisi hapo bagamoyo alizaliwa mtoto hana kichwa tukamwekea nazi na sasa ni Rais DUh,!!!!
 
Kwa nini hii joke inarudiwarudiwa namna hii?
 
Back
Top Bottom