Wakuu,
Waone walalahoi sasa wameanza. kwa nini tunawadharau?
Dunia imepata habari.. au wamefanya kosa hapa?
http://www.euronews.net/nocomment/2010/12/30/tanzania-protesters-call-for-a-new-contitution/
Sasa yaitishwe mengine makubwa zaidi na yatakayoshirikisha wigo mkubwa, kila mwananchi ikiwezekana.
Ni mwanzo mzuri.