Chumchang Changchum
JF-Expert Member
- Nov 1, 2013
- 6,151
- 6,449
Mimi sio CDM lkn huu upuuzi utolewe.Kagoma kula na mtu katoa sababu alafu mnaitaka ile sababu iongezwe nyanya chumvi na binzali ili aeleweke hamuoni huo ni ukandamizaji...
Mbona madai ya kitoto sana kamanda gani sasa huyo, navyojua mimi kamanda lazima uwe na roho ngumu hata ikibidi unakula hata panya au mijusi ili usife kwa njaa kwenye vita.Amegoma kwa kunyimwa dhamana ambayo ni haki yake kimsingi
Madam mzima hujui kwanini jumamosi na jpili watu hawatolewi? Katika kalenda ya serikali ni siku gani wameweka ambazo siyo siku za kazi katika wiki?hivi siku za weekend kunatolewa dhamana? maana watu kadhaa waliokamatwaga ijumaa naonaga dhamana ni jumatatu ila sijui kwa nini?
Madam mzima hujui kwanini jumamosi na jpili watu hawatolewi? Katika kalenda ya serikali ni siku gani wameweka ambazo siyo siku za kazi katika wiki?
Kama kawekwa ijumaa na wakashindwa mtoa ijumaa hiyohiyo hawana jinsi zaidi ya kusubiri hadi jtatu..ila kama wanalalamika kwa siku za kazi ni haki yaohiyo point ya weekend naijua ila kuna watu wanalalamikaga sana kuwa ndugu yake kafungiwa siku mbili bila dhamana! sasa sijui huwa wanamaanisha nini! it was literal question
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] we mtie ujinga lema.Let me remind mtoa thread, kuna nchi inaitwa India walipata Uhuru baada ya jamaa mmoja kugoma kula alikuwa anaitwa Mahatma Gandhi! Soma history, that's all.
Watoto kama wewe unaona haya mambo muujizamwanaume anuni tunapiga dona la polis mwanzo mwisho then dhamana baadae....unajiita kamanda unasusa kula???
Kati ya wabunge au wanachama wenye uchungu na chama chao pia wanapigania haki ni Godbless Lema NDIO MAANA WANA ARUSHA KAMWE hawatamani kumuacha,hongera Lema wengi tuko nyuma yako,Mola akusaidie,hakika ipo siku dunia itakufahamuMh mbunge wa Arusha mjini amegoma kula tangu amewekaa maabus zinaendelea kusambaa kwa kasi,hiii ni baada ya maelezo yaliyotolewa na meya wa jiji la arusha bwana Calist Lazaro ambapo amesema Mh.Lema amelazimika kugoma kula baada yakutoridhika na ukamatwaji wake ambao ameutafsiri kama udhalilishwaji mbele ya familia yake.
Nalazimika kusema madai ya muheshimiwa mbunge Kugoma kula niyamsingi ila ameyafanya kwa kukurupuka,kiasi chakukosa mashiko,haswa kwa wanaomshikilia, mh lema Hajatuambia ni nini hasa anataka afanyiwe ili arejee kula kama kawaida,alipaswa kuliambia Jeshi la Polisi kama walimkamata kwakumdhalilisha mbele ya familia yake,basi polisi Wakaombe radhi kwa familia na watoto wake ndio arejeshe hali yake ya kula kama kawaida,
Niwazi watu wote wanaotumia njia hii kudai haki huweka masharti ambayo yakitekelezwa hurejea kula kama kawaida,mh Mbunge hoja yake ya msingi lakini ameishia kusema amegoma kula Kwa sababu amekamatwa kwakudhalilishwa mbele ya familia yake,ingependeza kama angeenda mbali zaidi kuliambia Jeshi la Polisi lifanye jambo gani ili arejee kula kama kawaida.
Baada ya kusema hayo naomba nimpe pole za dhati mh lema,sote tunafahamu maabusu sio pazuri Mh LISU alikaaa siku moja akatupa ushuhuda MAABUSU sio pazuri,LEMA umekaa siku Tatu tunakila sababu kukupa Pole.
Nawasilisha
Hayo yote ni mepesi,hebu jaribu wewe kukaa siku tatu bila kula!Watoto laini hamuyawezi haya mamboMbona madai ya kitoto sana kamanda gani sasa huyo, navyojua mimi kamanda lazima uwe na roho ngumu hata ikibidi unakula hata panya au mijusi ili usife kwa njaa kwenye vita.
Alafu akifa wewe utapata nini?Yeye asile tu, kwani kitatokea nini? Yule si walisema dhaifu! Huyu sio dhaifu, acha afe kwa njaa na haiwi chochote