Madagascar: Wafungwa 20 wafariki dunia kwenye harakati za kutoroka gerezani

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Wafungwa 20 wamepoteza maisha katika mapigano na Polisi wakati wanataka kutoroka katika gerezani. Wizara ya Sheria imesema zaidi ya wafungwa 10 waliwavamia walinzi na kupora bastola

Imeelezwa kuwa, wafungwa 37 kati ya 88 waliofanikiwa kutoroka kutoka gereza la Farafangana wamekamatwa na Polisi huku wengine nane wakijeruhiwa katika mapigano hayo

Aidha, jitihada za kuwatafuta wafungwa 31 waliotoroka zinaendelea na Wizara hiyo imeahidi kuimarisha zaidi ulinzi katika magereza nchini humo

===

Twenty inmates have been killed in a shoot-out with police during a prison breakout in Madagascar on Sunday.

Madagascar's justice ministry said tens of prisoners attacked guards with rocks and grabbed a gun as they tried to flee the Farafangana prison in the southeast of the Indian Ocean island.

Thirty-seven of the 88 who managed to escape were captured by the police and army while eight were wounded in the shoot-out.

Thirty-one inmates are still on the run, the ministry said, vowing to boost security at all penitentiaries across the country.

Mass prison escapes are not uncommon in Madagascar.

In 2016, approximately 40 detainees broke out of a high-security prison in Toliary in southern Madagascar.
 
Back
Top Bottom