Hivi kweli Jamii Forums - The home of great thinkers ndio watu wanaandika kuwa Tanzania tunahitaji exchange of power kwa style ya Madacascar. Hivi kweli tunahitaji mtu asiyeheshimu katiba ya nchi ajinyakulie madaraka? Hivi kweli tunahitaji kiongozi anayeungwa mkono na watu ambao idadi yao rasmi haijulikani, just because they live in the capital?
Hivi iwapo humu Jamii Forums kuna vijana wa shule za msingi na sekondari wanasoma maoni ya namna hiyo, watapata fundisho gani?
Kwa changamoto tu labda pitia hapa BBC Africa have your say BBC NEWS | Have Your Say | What next for Madagascar? ili upate maoni ya wengine duniani especially kule ambako walishawahi kudanganyika kuwa mtindo uliotumika Madagascar unafaa.
Mtanzania usidanganyike, anayeshindwa kuwaconvince wapiga kura wamchague hapaswi kulazimisha kujiingiza mwenyewe madarakani. Huko ni kuwadharau wananchi na katiba ya nchi.
I know very much and I mean it. Katika dimbwi la ufisadi ambao ni state sponsored kama hili ndani ya nchi yetu kwa nini isiwe joy jamaa kugive up power?
Mind you we have come so far and be grateful that at least we have seen some light in JKs term.
These words tell me that you have no clues as to what is happening on the ground right now in TZ. What kinda of light are u talking about????????????
Haya mkuu mojawapo ya maoni kutoka hio link ni kama hii hapa chini:
A president who is elected by with an 80% abstention rate cannot be considered as democratically elected. Ravalomanana's regime was marked by his authoritarism, the imprisonment of political opponents, and the lack of freedom of expression.
Why would the international community and the African Union resort to all means to try and oust Robert Mugabe in Zimbabwe, who also considers himself "democratically elected" and condemn the Malagasy people and army for ousting a president of the same kind?
Yaleyale ya wasiokuwa na majibu. Haya kaa hivyohivyo, ila tafadhali acha kuiombea nchi yetu balaa. Kilichotokea Madagascar ni balaa na kuombea hali kama hiyo itokee Tanzania is an offence.
You might be surprised mate!
I might not be in Tanzania but I get every detail of things going around..my point is and still will be that we do not need to have military taking over the Government just because of what you think is going on... We are past that we need to think clearly and if we do elect leaders we want them to be responsible and we need results for sure.
Madagascar isn't Tanzania neither is Congo Tanzania! Lets be Tanzanians and demand results ...stop whining and do something useful.
I dont think you know what you are talking about...
MKUU ZEMARCOPOLO
i dont think u also know what u wrote:
Hiyo ndio maana ya peoples power,kama kiongozi anakiuka katiba lazima protest iwepo kutoka kwa wananchi,tuliona Thailand na sasa madagascar,so watanzania tunaweza kujifunza kitu.