Madagascar Kufanya vipimo 'Polygraph' kwa mawaziri waongo ili kupunguza Rushwa

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,446
Reaction score
2,093
Kiongozi wa kijeshi wa Madagascar na Rais, Michael Randrianirina, ametangaza Alhamisi kuwa mtu yeyote atakayeomba kuwa waziri katika serikali mpya atalazimika kufanyiwa kipimo cha mashine ya kugundua uongo (polygraph) ili kuchunguza uwezekano wa rushwa.

“Tutaweza kujua nani ni mfisadi na nani anaweza kutusaidia,” Randrianirina aliwaambia waandishi wa habari.

Nchi hiyo tayari imenunua mashine ya polygraph pamoja na mtaalamu wa kuiendesha. Wagombea watakaoshindwa kipimo hicho “hawataendelea hadi hatua ya usaili.”

Wale watakaofaulu watakutana na rais pamoja na waziri mkuu.

“Hatutafuti mtu aliye msafi kwa asilimia 100%, bali yule aliye safi kwa zaidi ya asilimia 60,” alisema.

Hivi karibuni Rais Michael Randrianirina alimfukuza kazi waziri mkuu na kuvunja baraza lote la mawaziri

Soma pia: Madagascar: Rais amfuta kazi Waziri Mkuu na kuvunja Baraza lote la Mawaziri

NB: A polygraph test, commonly known as a lie detector test, is a diagnostic procedure that monitors and records several physiological indicators while a person answers a series of questions. The test is based on the theory that lying causes detectable stress or anxiety, which triggers the body’s "fight or flight" response.

---
Kipimo cha polygraph, kinachojulikana pia kama kipimo cha kugundua uongo, ni utaratibu wa uchunguzi unaofuatilia na kurekodi viashiria mbalimbali vya mwili wakati mtu anajibu mfululizo wa maswali.

Kipimo hiki kinategemea dhana kwamba mtu anaposema uongo hupata msongo au wasiwasi unaoweza kugundulika, hali inayochochea mwili kuingia katika mfumo wa “pigana yaani mwili unareact

1774013779999.png

=============

Madagascar's military leader, President Michael Randrianirina, announced Thursday that anyone applying to become a minister in the new government will undergo lie detector tests to screen for corruption—a rare and unprecedented vetting measure.

"We will know who is corrupt and who can help us," Randrianirina told reporters.

The country has acquired a polygraph machine and a specialist to operate it. Candidates who fail the test "will not proceed to an interview."

Those who pass will then meet with the president and the prime minister.

"We are not looking for someone who is 100% clean, but someone who is more than 60% clean," he said.

Source: African news
 
Kiongozi wa kijeshi wa Madagascar na Rais, Michael Randrianirina, ametangaza Alhamisi kuwa mtu yeyote atakayeomba kuwa waziri katika serikali mpya atalazimika kufanyiwa kipimo cha mashine ya kugundua uongo (polygraph) ili kuchunguza uwezekano wa rushwa.

“Tutaweza kujua nani ni mfisadi na nani anaweza kutusaidia,” Randrianirina aliwaambia waandishi wa habari.

Nchi hiyo tayari imenunua mashine ya polygraph pamoja na mtaalamu wa kuiendesha. Wagombea watakaoshindwa kipimo hicho “hawataendelea hadi hatua ya usaili.”

Wale watakaofaulu watakutana na rais pamoja na waziri mkuu.

“Hatutafuti mtu aliye msafi kwa asilimia 100%, bali yule aliye safi kwa zaidi ya asilimia 60,” alisema.

Hivi karibuni Rais Michael Randrianirina alimfukuza kazi waziri mkuu na kuvunja baraza lote la mawaziri

Soma pia: Madagascar: Rais amfuta kazi Waziri Mkuu na kuvunja Baraza lote la Mawaziri

=============

Madagascar's military leader, President Michael Randrianirina, announced Thursday that anyone applying to become a minister in the new government will undergo lie detector tests to screen for corruption—a rare and unprecedented vetting measure.

"We will know who is corrupt and who can help us," Randrianirina told reporters.

The country has acquired a polygraph machine and a specialist to operate it. Candidates who fail the test "will not proceed to an interview."

Those who pass will then meet with the president and the prime minister.

"We are not looking for someone who is 100% clean, but someone who is more than 60% clean," he said.

Source: African news
Duh!
 
Hiyo machine ikimuona Mzee wa kupendwa na mkewe inatosha inazima hapo hapo
 
Back
Top Bottom