Dumuzii JF-Expert Member Joined Jan 4, 2019 Posts 3,601 Reaction score 8,687 Dec 28, 2021 Thread starter #21 tang'ana said: Mtoto wa 2010 nae ana sponsa?kwanza nia aibu hata Kumdiscuss humu mtoto wa miaka 11. Click to expand... Kwa akili yako mtu wa umri huo anaruhusiwa kuwa viwanja mida mibovu.....?
tang'ana said: Mtoto wa 2010 nae ana sponsa?kwanza nia aibu hata Kumdiscuss humu mtoto wa miaka 11. Click to expand... Kwa akili yako mtu wa umri huo anaruhusiwa kuwa viwanja mida mibovu.....?
tang'ana JF-Expert Member Joined Apr 3, 2015 Posts 12,055 Reaction score 16,510 Dec 28, 2021 #22 miles45 said: Kwa akili yako mtu wa umri huo anaruhusiwa kuwa viwanja mida mibovu.....? Click to expand... Wat if kama alikua na wazazi wake? Una akili mbovu sana wewe.
miles45 said: Kwa akili yako mtu wa umri huo anaruhusiwa kuwa viwanja mida mibovu.....? Click to expand... Wat if kama alikua na wazazi wake? Una akili mbovu sana wewe.
Mangungo II JF-Expert Member Joined Jul 6, 2012 Posts 18,174 Reaction score 26,913 Dec 28, 2021 #23 Usijiumize kichwa Mambo yao waachie wenyewe
evonik JF-Expert Member Joined Jun 12, 2015 Posts 3,996 Reaction score 5,181 Dec 28, 2021 #24 Nilikuona mkuu, wale wamama walikuwa pale park wanavunja kikoba ndo mana wapo zao cool Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuona mkuu, wale wamama walikuwa pale park wanavunja kikoba ndo mana wapo zao cool Sent using Jamii Forums mobile app