Madada poa watanimaliza

Umenena vyema, ila kutafuta video hizo itakuwa ngumu maana zinaogopesha ila haikufanyi ukaacha kugegenda, we unafikiri wanaopata ukimwi kwa sababu ya ngono hawakuwa wakijua?? Hii starehe sijui ipoje yaani, ni kama kifo kila mtu anajua atakufa ila hatujui siku wala saa
 
Hapo labda msaada wa maombi sasa unahitajika. Ngoja watu wa Mungu waje.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 


ok ngoja nikupe doz ambayo ukifaata mashart utapona kabisa na wala hautarudia tena..

ukimaliza shughuli zako za jion nenda mazoezin iwe gym ama mpiran.. hakikisha unarud hm kwenye kida ya saa tatu kutoka huko then pika chakula waka usile hotel ana baa.. ukimaliza ashughul hizo ni waz utakuwa uko hoi kwa uchovu utalala fofofo na wala hautakurupuka usiku boo limekusimama kwa kuota unatombana na mashetan had unatoja kufata malaya...

kuhusu mchna na wakat wa kaz jaribu kufanya kazi zako nusunusu na usimalizie kaz ama haribu kdg ili upate stress maana inaonekana ww hufanyi mazoez na unafanya kaz za kiimla zaid ambazo haziumiz kichwa ama unafanya kaz serikalin ambako hamna perfomance revieww ndo maana mwil unataka kutoa mafuta na energy iliozid kwa njia ya kugegedana maana akil haitumik ipasavyo na mazoez huna

NB " ka za kiimla ni kama ualimu .. upolis.. usecretary.. na kaz ambazo kila siku ya mungu routine ni ile ile


by the way shortcut ya kumaliza tofaut hiyo ni kutonga dry ili upate gono ama ukiwa una bahata zaid upate ngwengwe.. ili urudishe mpira kwa golikipa
 
kulaa tuu babuu hakuna shida,,,,wasugue mpaka walie
 
Njia ni moja tu TAFUTA MFALME ANAYEITWA BWANA YESU YEYE ATAKUOKOA PAMOJA NA DHAMBI ZAKO. ANASEMA NJONI KWANGU NINYI NYOTE MSUMBUKAO NA KULEMEWA NA MIZIGO YA DHAMBI NAMI NITAWAPUMZISHA, (MATAYO 11:28.)
 
Duh, we jamaa utafikiri unanisemea kwa niaba. Hao dada poa hawana gharama kama kuwa na hawala, halafu ni safe kwani huwa hawakubali bila ndomu tofauti na wa kitaa ambao ukitumia ndomu wanachukia.
 
Duh, we jamaa utafikiri unanisemea kwa niaba. Hao dada poa hawana gharama kama kuwa na hawala, halafu ni safe kwani huwa hawakubali bila ndomu tofauti na wa kitaa ambao ukitumia ndomu wanachukia.
kiukweli wako vizuri na wako flexible kwa staili yoyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…