gen parton
JF-Expert Member
- Jan 15, 2013
- 642
- 412
jashmoe32 povu linakutoka hayo mambo ya starehe bana na starehe zina watu wake kama unaona ghalama tumia sabuni au lotion kijichua hatatumia sent mojaKwa nn hawa dada zetu
ukianza nao uhusiano uwa wanamgeuza mwanaume ndo kila kitu yan ndo kama
wazaz wake mana atataka umlishe,umnunulie vitu kama nguo za ndan na
umlipie ada,how come majukumu ya wazaz wako yawe yangu?ina maana mimi
sina ndg wa kuwajal mpaka nikuangaikie wewe.Mnaboa sana masista due njaa
mana mtu akikuambia hana kitu unamchukia na akikuambia kwan mwanzon
kabla hujawa na mm ilikuaje?anasema usinione kama nna dhiki sana ila kwa
hali ilivo ni kama una dhiki
Mnafanya wanaume tusione thaman ya hela yetu na tuone thaman ya
kukupendezesha wewe wakat tuna ndugu na jamaa wana shida na tuna wajibu
wa kuwasaidia.
Samahan kama nimekukwaza ila nimeongea uhalisia na vitu ambavyo
vmentokea na imeniuma sana mana mdada anasema simpend kwa sabab
nimeshndwa kumtimizia mahitaj yake na nimemjibu kama mapenz ni hayo then
mimi sipo tayari na huko huru kufanya uamuz unaotaka na analaum kua
nimemuharibia maisha.
Yaani mimi wanaume wa humu JF wananikera sana, wakiombwa hela tu wanakuja kulalamika JF, Hivi humu kuna wanaume au wte tumo wanawake. au Jamii Forum imejaa wanaume maskini wote ambao hawana ramani wapo wapo tu hata kula yao ni shida kwa hiyo kuombwa hela anateseka sana rohoni mwake maana anawaza ataipata wapi? Hebu tafuteni pesa acheni kulia lia kama watoto. Loh Mwanaume unatakiwa umtunzi mpenzi wako ili upate sifa na akupende, Sio kujisifia tu demu wangu mzuri huku hujui hata gharama yake ndo maana kila siku mnalia kanisaliti, acha wanaojua kutunza wafaidikweli matola yaani kumnunulia mpenzi wake juice ya ukwaju mara mbili tu mtu anakuja kuanzisha thread humu
kweli matola yaani kumnunulia mpenzi wake juice ya ukwaju mara mbili tu mtu anakuja kuanzisha thread humu
This is it my brother, yaani l am very proud for being ur sister maana wanaume wanaejua majukumu na wasolalamika ni adimu sana siku hizi.Kati ya majukumu niliyonayo na kucare Wadada limo na Ndio matumizi ya pesa.
Ingekua sio na Wadada nisingetafuta pesa hivi.
Na dume kweli la kinyamwezi!
Uliza my dada Kaunga!
This is it my brother, yaani l am very proud for being ur sister maana wanaume wanaejua majukumu na wasolalamika ni adimu sana siku hizi.
We mpanga lkn? Umenichunia mpaka basi hadi najihisi nimekukosea vile.
Ene mpanga woo !!Sis sijakuchunia dah majukumu si unajua tena..!!
Monday nitaback kutoka huku nitakupigia my real sis!!
Pouwa, usiache zawadi basi.
Kati ya majukumu niliyonayo na kucare Wadada limo na Ndio matumizi ya pesa.
Ingekua sio na Wadada nisingetafuta pesa hivi.
Hhhehheh mana kunawatu kazi yao kusifia tu umependeza oh unanukia wakati ye hata mia kutoa hawezi alafu kakazania usinisaliti .
Sasa anadahan wanaoudumia wao wapumbavu eh
Siyo mabahiri bali wamepigika, tofautisha ubahiri na poverty.
Mwanaume yeyote kamili mwenye pesa ambayo si ya mawazo kuhonga na kumuhudumia demu ni sehemu ya ibada.
Mimi minoti ikikoseaga njia huwa nawatumia kwa M pesa hata wale zilipendwa, huwa nageuka Max malipo ghafla.