Hivi kama umedate na mwanamke ambae hana kazi unatarajia nini?
Au unataka anunuliwe pichu na rafiki yako?
Kuna wengine hizo huduma za kununuliwa nguo na wazazi wao hawazipati, zaidi ya kulipiwa ada tu, tena na ada yenyewe inalipwa kwa mbinde.
Na akibahatika kupata kidume kama wewe anaona kama zali la mentali na hapo ndipo huamua kukuvisha majukumu ya babaye.
Embu waambie hao sio ubaili umejaa unataka mwanaume mwenzio audumie au
Hhhehheh mana kunawatu kazi yao kusifia tu umependeza oh unanukia wakati ye hata mia kutoa hawezi alafu kakazania usinisaliti .
Sasa anadahan wanaoudumia wao wapumbavu eh
Tatizo la jf wanaume wengi mabahiliiiii
Kati ya majukumu niliyonayo na kucare Wadada limo na Ndio matumizi ya pesa.
Ingekua sio na Wadada nisingetafuta pesa hivi.
Tatizo la jf wanaume wengi mabahiliiiii
hawajui kuwa sifa kuu ya mume ni kumtunza mke......!!!!!!!!!
Na wakae wakijua wasipo hudumia wapenzi wao, wajue kuwa kuna wenzao wanao wahudumia
Siyo mabahiri bali wamepigika, tofautisha ubahiri na poverty.Tatizo la jf wanaume wengi mabahiliiiii
Tatizo la jf wanaume wengi mabahiliiiii
Tatizo la jf wanaume wengi mabahiliiiii
kweli matola yaani kumnunulia mpenzi wake juice ya ukwaju mara mbili tu mtu anakuja kuanzisha thread humusiyo mabahiri bali wamepigika, tofautisha ubahiri na poverty.
Mwanaume yeyote kamili mwenye pesa ambayo si ya mawazo kuhonga na kumuhudumia demu ni sehemu ya ibada.
Mimi minoti ikikoseaga njia huwa nawatumia kwa m pesa hata wale zilipendwa, huwa nageuka max malipo ghafla.