Mada za MMU na wanawake

Lavit

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2011
Posts
16,497
Reaction score
38,402
Kwa muda sasa nimefatilia mada za humu ndani, nyingi zimekuwa zikilenga wanawake iwe kuelimisha au muda mwingine kuponda tu.
Sababu za msingi za hali hii ni zipi hasa? Ni kutokujiamini kwa wanaume au tabia tu ya kulialia inayokumba wengi?

Ndani ya hizi siku mbili threads ni hizi hapa.


~Wanawake kuanzia 30 na kuendelea ni mabonge

~Hivi wapo mabikra kuanzia 30yrs na kuendelea?

~Wanawake mnaozalishwa na kuachwa huwa mnachukua muda kujitathmini kweli?

~ Kwanini wanawake waliotendwa wanapenda kusali?

~ Wadada msioolewa muwalaumu wazungu kudanganya kuhusu ndoa ya mke mmoja

~ Wanawake na ushamba wa kubofya simu, mnatia aibu
 
mara juliana na mamaake wanangonoka na kaka flan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…