Kuna hadithi moja inasema kulikuwa na karamu na mgeni rasmi alikuwa Mtume.. Na nyama iliyokuwa tamu kuliko zote ni hiyo
Sasa nyakati zile kwenye karamu yoyote hakurusiwa mtu yoyete kuanza kula kabla ya Mtume/mfalme.
Sasa kuna mwana akaionja hiyo na kushindwa kuvumilia akaonja tena na tena
Mtume alipokuja na kugundua hilo hapo hapo akaiharamisha..
My apology sina maana ya kukebehi imani yoyote