Nchi yetu watu wengi hawana Elimu za Wanyama hii ilitokea Njiro,Arusha tembo mmoja alipita njia yake ya zamani ilikua makazi ya watu madereva boda boda wakawa wanamkaribia kwa kupiga picha nae tembo pana muda hakupenda zile ghasia aliua kijana mmoja kwa kumkimbiza tena wana mbio hao hatari...mmoja aliingia kwenye miti ndio ilikua pona yake...