miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,802
- 49,109
mimi naona siyo sahihi , kwa sababu nitaona aibu asubuhi kuwaangalia wazazi kwa sababu watahisi usiku nilikuwa nafanywa matusi hata kama sijafanya... au nimekunwa nikatoa kilio cha mahaba nitahisi wamesikia wazazi.. mimi kibubu siwezi
mimi hapana kwa kweli maswala ya kufanya kibubu bubu mi sitakhahahaaaaaaaa,watanifanya nisitoke nje kwa aibu
mimi naona siyo sahihi , kwa sababu nitaona aibu asubuhi kuwaangalia wazazi kwa sababu watahisi usiku nilikuwa nafanywa matusi hata kama sijafanya... au nimekunwa nikatoa kilio cha mahaba nitahisi wamesikia wazazi.. mimi kibubu siwezi
mmh utanikata steam ukiniziba mdomohihi hihi Kibubu... unazibwa mdomo
Inategemea na mfumo wa familia kuna rafiki yangu baba yake amefariki na mama yake ni mgonjwa wa mara kwa mara na yeye kwao ndio wa mwisho imebidi aoe na mke amemwelewa so wanaishi hapo
mimi naona siyo sahihi , kwa sababu nitaona aibu asubuhi kuwaangalia wazazi kwa sababu watahisi usiku nilikuwa nafanywa matusi hata kama sijafanya... au nimekunwa nikatoa kilio cha mahaba nitahisi wamesikia wazazi.. mimi kibubu siwezi
mmh utanikata steam ukiniziba mdomo
mimi naona siyo sahihi , kwa sababu nitaona aibu asubuhi kuwaangalia wazazi kwa sababu watahisi usiku nilikuwa nafanywa matusi hata kama sijafanya... au nimekunwa nikatoa kilio cha mahaba nitahisi wamesikia wazazi.. mimi kibubu siwezi
kuunganisha matusi makubwa makubwaMatusi yanafanyikaje miss chagga?