Wakuuu heshima yenu..
Sijui lolote kuhusu kitu kinaitwa function katika hesabu.
Anyone to make me know it briefly. Thanks.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ya o level, hapa hapa ufafanuz kidogo tuUnataka usome function ipi ya Olevel au
A level? ......je unataka ufundishwe hapa jukwaani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ufafanuzi gani unaoutaka mkuu? Wapi shida ipo unge specify kabisa ili tujue pa kuanzia mkuu
Nilichokuwa nasikia wakati huo ni;Wakuuu heshima yenu..
Sijui lolote kuhusu kitu kinaitwa function katika hesabu.
Anyone to make me know it briefly. Thanks.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilichokuwa nasikia wakati huo ni;
One to one function na
Step function tu.
Ila nilikuwa sielewi hata mwalimu anazungumzia nini!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani relation uko vizurii??na upande wa kuchora magraph uko njema auWakuuu heshima yenu..
Sijui lolote kuhusu kitu kinaitwa function katika hesabu.
Anyone to make me know it briefly. Thanks.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asa ukijua sahv utafanyaje!?? Au unataka kufungua tuition ufundishe function!??
Typed Using KIDOLE
Kwani relation uko vizurii??na upande wa kuchora magraph uko njema au
Step function umesoma level ipi- A level au first year university?Nilichokuwa nasikia wakati huo ni;
One to one function na
Step function tu.
Ila nilikuwa sielewi hata mwalimu anazungumzia nini!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unania pitia youtube utapata mafunzo mazuri kwa wataalam bora tofauti lakini ni english lang buti ukipenda kwa maandishi only pitia website ya shule direct