GE2025 Mada: Uchaguzi mkuu wa oktoba 2025 unaweza kukizi vigezo vya kuwa uchaguzi huru, haki na wa uwazi?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Bishweko

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
4,280
Reaction score
2,980
Habari zenu ndugu zangu

Katika utaifa wetu wa Tanzania. Leo nataka tujaribu kuangalia mchakato wa uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi wa Oktoba mwaka huu.

Watanzania wanajiandaa kuwachagua wabunge,Rais na madiwani.

Lakini kabla ya uchaguzi kuna mambo mbali mbali mazuri na mabaya yanaendelea kutokea nchini mwetu. Bila shaka mambo hayo yanagusa moja kwa moja swala la uchaguzi. Hoja yangu ni JE,UCHAGUZI HUU
UNAWEZA KUKIZI VIWANGU VYA KUITWA UCHAGUZI HURU,WA HAKI NA WAZI?

Kama unaweza kukizi au kutoweza kukizi ni nini kifanyike ili uchaguzi wetu uweze kua wa maana kwa kila mtanzania.
KARIBU
 
Masahihisho: Watanzania Hawajiandai kuchagua viongozi, Bali viongozi wanajiandaa kuchaguliwa
Nenda kwenye mada kamanda. Pia hao viongozi ni watanzania. Tujadili kwa kuboresha ili ni Taifa letu sote. KARIBU
 
347351.jpg
 
Masahihisho: Watanzania Hawajiandai kuchagua viongozi, Bali viongozi wanajiandaa kuchaguliwa
Wanatoa pesa ili wawaletee watu maendeleo??? Maajabu ya ccm hayo.
Bi Angela kairuki anamwaga pesa kama mwehu huko mbezi . Kila mjumbe anakula 70000=
 
Habari zenu ndugu zangu

Katika utaifa wetu wa Tanzania. Leo nataka tujaribu kuangalia mchakato wa uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi wa Oktoba mwaka huu.

Watanzania wanajiandaa kuwachagua wabunge,Rais na madiwani.

Lakini kabla ya uchaguzi kuna mambo mbali mbali mazuri na mabaya yanaendelea kutokea nchini mwetu. Bila shaka mambo hayo yanagusa moja kwa moja swala la uchaguzi. Hoja yangu ni JE,UCHAGUZI HUU
UNAWEZA KUKIZI VIWANGU VYA KUITWA UCHAGUZI HURU,WA HAKI NA WAZI?

Kama unaweza kukizi au kutoweza kukizi ni nini kifanyike ili uchaguzi wetu uweze kua wa maana kwa kila mtanzania.
KARIBU
Tanzania hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
 
Ahsante,ila ungetoa makasiriko bila shaka unalo zuri lakuweza kushauri au kusema tu
 
Waulize Police wanasemaje?!
Kwani kosa la wasikilizaji wa hotuba za Gwajima kanisani walikuwa na kosa Gani Hadi wazuiliwe kukusanyika jumapili zilizofuata?

Ikiwa Police wamewadhibiti wasio na nia ovu basi wao ndio watakaodhibiti mwonekano wa uchaguzi.

Hoja huzimwa kwa mtutu pia!
 
Back
Top Bottom