MADA SHIRIKISHI: Je ikitokea Rais kikwete akawa Mtuhumiwa NO .1 wa ESCROW UTAFANYAJE?

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
WanaJf kwa kadri upepo unavyovuma kwa kasi inawezekana upepo ukaelekea magogoni kwa mkuu wa nchi

Wiki iliyopita ililetwa tuhuma bila ushahidi na mwanaJF kwa Miraj na Salama Kikwete wamepata mgao

Kwa muda unavyoenda Magogoni wanatumia nguvu nyingi kuzuia haya majanga ya Escrow



Swali langu kwa wanaJf ni

Je ikigundurika kuwa Profesa ndio inginia wa hii makitu utafanyaje? Historia inasema Profesa aliingia magogoni kwa mgongo wa EPA REFER TO WIKIPEDIA Names people behind EPA Scam and was to finance Jakaya Kikwete Elections
 
Ahahahah mi nijuavyo mh. Naye ni mtuhumiwa ndo mana report inachakachuliwa na kupigwa danadana

kwan dowans si ilikuwa ya mheshimiwa
 
Wwe mleta mada unaonekana umeshiba viroba unaleta vitu ambavyo hata havina mguu wala mkono ni sawa na kusema et leo itokee wewe ndo uwe mtuhumiwa namba mja ni kitu ambacho hakiingii akilini
punguzen viroba jaman
 
Inaelekea wewe ndo mnywa viroba namba moja,
mbona imekukera? acha kujifanya una uchungu na chama wakati hata jero hujala
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom