Raia Fulani JF-Expert Member Joined Mar 12, 2009 Posts 11,866 Reaction score 4,266 Nov 27, 2011 #1 Naona wako hapa Mh. Tundu Lissu, Mh. Kombani na ndugu mwingine. mwendesha mada ni Angelo Mwoleka. Anaongea sasa waziri wa sheria
Naona wako hapa Mh. Tundu Lissu, Mh. Kombani na ndugu mwingine. mwendesha mada ni Angelo Mwoleka. Anaongea sasa waziri wa sheria
Raia Fulani JF-Expert Member Joined Mar 12, 2009 Posts 11,866 Reaction score 4,266 Nov 27, 2011 Thread starter #2 miezi 6 kamati haikukaa kuzungumzia mswada-Lissu
Raia Fulani JF-Expert Member Joined Mar 12, 2009 Posts 11,866 Reaction score 4,266 Nov 27, 2011 Thread starter #3 Spika alikataa kamati kuzunguka kanda 8 tz bara pamoja na zanzibar-Lissu
Raia Fulani JF-Expert Member Joined Mar 12, 2009 Posts 11,866 Reaction score 4,266 Nov 27, 2011 Thread starter #4 Spika alifuta makubaliano ya kamati kuzunguka kanda kumi kwa mara nyingine pamoja na visiwani. akalazimisha muswada ulioandaliwa kinyemela upelekwe bungeni
Spika alifuta makubaliano ya kamati kuzunguka kanda kumi kwa mara nyingine pamoja na visiwani. akalazimisha muswada ulioandaliwa kinyemela upelekwe bungeni
Raia Fulani JF-Expert Member Joined Mar 12, 2009 Posts 11,866 Reaction score 4,266 Nov 27, 2011 Thread starter #5 kamati ikishaundwa inakaa miaka 2 na nusu. Spika aliongeza wajumbe watano toka ccm, cuf na nccr kinyume na taratibu za kuunda kamati
kamati ikishaundwa inakaa miaka 2 na nusu. Spika aliongeza wajumbe watano toka ccm, cuf na nccr kinyume na taratibu za kuunda kamati