Geechie
JF-Expert Member
- Oct 26, 2015
- 977
- 761
Wana jamvi kuna mada mto inaendelea channel ten yenye kichwa cha somo Je tunatokaje?
Kilichonifanya niweke ubaoni ni aina ya viongozi tulionao ambao wanajifanya hawawezi kunyosha sentensi hata moja bila kuweka neno la kiingereza tena neno jepesi.
Mfano mchungaji anajifanya hajaona neno mbadala kwa kiswahili la reflection kweli tumefika huko?