Geechie
JF-Expert Member
- Oct 26, 2015
- 977
- 761
Mada: Nini matarajio ya watanzania kwa serikali ya awamu ya tano.
Yaonyesha Kilala alimmiss Polepole jinsi anavyotembea na vocal zake.
Yaonyesha Kilala alimmiss Polepole jinsi anavyotembea na vocal zake.
Polepole: Waliokwamisha katiba mpya wameshaondoka CCM
Hii sasa ni kali soma polepole.
Wakati Magufuli ameshatamka (siku alipozindua bunge) kuwa amepokea kiporo chamchakato wa katiba na ataendelea na hatua ya kura ya Maoni.
Na waziri Mwakyembe alinukuliwa na waandishi wa habari akisema katiba sio kipaumbele cha Magufuli kwa sasa, na wakati ukifika ataendelea na kura ya maoni.
Leo yule polepole amedai waliozuia katiba isipite wameshaondoka CCM hawapo,tena hivyo anaamini itapatikana katiba ya wananchi.
Ndo kusema wabunge wa CCM waliopitisha Rasimu ya katiba ya Warioba, mpaka usku wako vyama vya upinzani siyo?
Muda unaanza kuongea, hapa mbwembwe tu
Chanzo: Channel ten: Mada motto