lendila
JF-Expert Member
- Sep 26, 2012
- 5,806
- 4,370
mada moto chanel ten ahadi ni deni kipindi kilichopita cha mada moto chanel ten muendesha kipindi walikubaliana na mh tundu lisu baada ya wiki mbili ya lisu kupambambana na kesi za wabunge wake atakuja kuendelea na mada ya tadhimini ya siku 100 za mh rais magufuli kwa hiyo tunapenda kumkumbusha muendesha kipindi kuwa ahadi ni deni