Siku hizi makamanda wamekuwa wavivu kuchangia mada zinazowahusu. Sijui wamezira au vipi. Hii imetokea baada ya msomi wao nguli Tundu Lisu kujikanganya kwenye suala la makinikia.

Waje kufuata nini uzi ambazo bavicha uzijaza?? Yaani jamaa hakubaliki hata kwa bavicha, wangekuwa wanamkubali wangekuwa wameshajaza kurasa kadhaa na mapovu!