Bondia Mada Maugo ametangaza rasmi kuwa atagombea ubunge jimbo la Rorya mwaka huu. Mada amesema hayo leo mchana alipokuwa anazungumzia pambano lake la Ngumi dhidi ya bondia hatari hapa nchini Karama Nyilawila.
Maugo ametangaza kumpa kichapo kibaya mpinzani wake na hatimaye kumuua kwa ngumi.
Hata hivyo hajaeleza atagombea kupitia chama gani.
Source: ITV.
HISIA ZANGU: MAUGO anaweza kugombea kupitia CHADEMA kwakuwa hiki ni chama kinachotoa fursa kwa watu wa kada zote.