Hiyo pombe iko vizuri sana kwa uchumi huu hiyo inawahi kuamsha amshaHivi balimi ni bia nzuri. Nataka kuanza kulewa rasmi hivi punde.
Nilikuandalia Wine hukutokeza. Huko moto nilishasepa mwenzio. Hujambo lakini. Nipo nameza.Wazo zuri sana
Wameipandisha Bei , nakunywa 1800 kutoka buku jeroImekuwaje?