thomas_360
JF-Expert Member
- Oct 11, 2015
- 1,459
- 1,428
Kumbe tukowengi duh kwanin haifunguki na no zao out of airSamahanin naombeni msaada kwa wenye link ya joining instructions UDOM mana nafungua kwenye account yang haifunguk
C ndo kusema maisha slop udomUkishindwa kusoma UDOM kisa ugumu wa maisha huwezi kusoma chuo chochote TZ
ugumu unakuja pale unapokuwa unacheza na masomo na kuvamia programme ambazo huna uwezo nazo...em niambie man nasikia hapo CIVE ni pagumu sana?? akili yako inatakiwa iwe timamu hasa
Na kimario vipi bado yupo?Ujasi kwa siha kuna kitimoto kizuri
Bachelor of science in education (ualimu wa somo moja, uko limited na inatolewa na college ya education)kuna bachelor of education in Arts, bachelor of education in science and bachelor of education with science pamoja na Bachelor of Arts with education