Mada Maalum: Waliochaguliwa kujiunga chuo kikuu cha Dodoma 2017/18

nenda kwenye website ya chuo kwenye important notes for new student utaipata maana huwa ni aina moja kwa wote
 
em niambie man nasikia hapo CIVE ni pagumu sana?? akili yako inatakiwa iwe timamu hasa
 
Account yangu ya udom haifunguki, naingiza email na password but inaniambia nimekosea , ,VIP nifanyeje
 
kuna bachelor of education in Arts, bachelor of education in science and bachelor of education with science pamoja na Bachelor of Arts with education
Bachelor of science in education (ualimu wa somo moja, uko limited na inatolewa na college ya education)

Bachelor of science with education (ualimu wa masomo mawili mf. Bios +Chem,Bios+Geog, Phy+Math nk. Hii ni nzuri zaidi maana hata masters ni rahisi kushift kwenda kada nyengine. Ila ni ngumu sana... Kuna courses nyingi sana..! Inatolewa na College of Natural and Mathematical Sciences, CNMS)

Hopeful nmekusaidia kidogo..
 
Back
Top Bottom