Mada Maalum Kwa Wanaopenda Mabaamedi (Wahudumu wa Bar/Pub/Grocery)

kisokolokwinyo20

JF-Expert Member
Apr 15, 2019
472
422
Wakuu habari za Jioni,

Kuna hawa dada zetu wanaohudumu katika sehemu za kupata kilaji kama Bar, Grocery ama Pub ambao jina maarufu ni Bar Maid (Baamedi).

Wadada hawa wapo katika nafadi ambayo wanaume wakware wakishapata kilaji kikakaa kichwani huingiwa na matamanio ya kuwa na kimwili faragha.

Kimsingi wengi wao huwa hawana nongwa wala hiyana ila tabu yao wengi ni mpaka usubiri wafunge Bar/Pub zao ambazo nyingi hufungwa kuanzia usiku mnene (saa 6 usiku na kuendelea).

Kwa wale wadau mnaopenda kula maisha na kuruka ndani ya sita kwa sita na hawa wadada embu leteni ushuhuda wa raha na karaha zao.

Karibuni.
 
😅😅😅Hatarious...ila wanaume mna roho ngumu sana...hv hamuoni kinyaa?mhh...!binafsi ningekuwa men nisingekula barmaid..!
Ila nakubali...kwasababu na sisi wanawake (mostly)tunapenda play boys🤗🤗...bas naacha kuwahukumu kwa hili!
 
hawa watamu sana buana
 
Asante sana mheshimiwa hakimu😆😆
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom